Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Kassimu Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi, katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. G. Byakanwa