Utaratibu wa kujisajili, kuomba leseni na vibali kupitia mfumo wa wizara ya kilimo wa kusimamia biashara za kilimo (ATMIS) kwa wanunuzi wa zao la korosho msimu wa mwaka 2020/21
Andika anuani ya mfumo https://atmis.kilimo.go.tz. Kwenye program yako ya kuingilia kwenye mtandao wa tovuti (Kielelezo Na. 1)
Kwenye Orodha ya Taasisi mbalimbali chagua na ubonyeze Cashewnut Board Of Tanzania (Kielelezo Na. 2)
Bonyeza Register Online ili ufungue fomu ya kujiandikisha taarifa zako kwenye mfumo wa ATMIS (Kielelezo Na. 3)
Jaza taarifa zinzohitajika pamoja na viambatisho vinavyotakiwa ambavyo ni
Kibali kitakua kwenye mfumo wa nakala laini ambayo mnunuzi anaweza akaprint
Bodi ya Korosho kwa niaba ya Chama Kikuu cha ushirika RUNALI inapenda kukutaarifu mabadiliko ya eneo la mnada wa tarehe 25.10.2020 ambao ilikua ufanyike wilaya ya Liwale kwa siku ya tarehe 25.10.2020 badala yake mnada huo utafanyika wilaya ya Nachingwea kwenye ofisi za RUNALI.
Kwa niaba ya Bodi ya chama kikuu RUNALI Bodi ya Korosho inaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza aidha inapenda kukualika kuhudhuria mnada huo utakaoanza saa 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni bila ya kukosa.
Director General
Cashewnut Board Of Tanzania
P.O BOX 533
Mtwara
Telephone (023) 2333303
Fax (023) 2333536
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 9234
Dar Es Salaam
Telephone (022) 2113161
Fax (022) 2117918
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 127
Tunduru
Telephone/Fax (025) 2680221
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 1032
Lindi
Telephone 023-2202006
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 119
Manyoni
Telephone 073881077
Email: info@cashew.go.tz