Afisa wa Bodi ya Korosho akizungumza na wakulima wa Korosho katika zoezi la ukusanyaji wa Fomu za usajili wa wakulima
Bodi ya Korosho Tanzania inapenda kuwatangazia wakulima wa Korosho kuwa zoezi la usajili wa wakulima bado halijafungwa. Wakulima ambao bado hawajajaza
fomu za taarifa zilizoandaliwa na kusambazwa na Bodi ya Korosho wanatakiwa kujaza fomu hizo na kuzirejesha kwa mtendaji wa kijiji au kata.
Wakulima wanasajiliwa ili kurahisisha mipango ya mendeleo kwa wakulima wa zao la Korosho.
Bodi ya Korosho kwa niaba ya Chama Kikuu cha ushirika RUNALI inapenda kukutaarifu mabadiliko ya eneo la mnada wa tarehe 25.10.2020 ambao ilikua ufanyike wilaya ya Liwale kwa siku ya tarehe 25.10.2020 badala yake mnada huo utafanyika wilaya ya Nachingwea kwenye ofisi za RUNALI.
Kwa niaba ya Bodi ya chama kikuu RUNALI Bodi ya Korosho inaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza aidha inapenda kukualika kuhudhuria mnada huo utakaoanza saa 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni bila ya kukosa.
Director General
Cashewnut Board Of Tanzania
P.O BOX 533
Mtwara
Telephone (023) 2333303
Fax (023) 2333536
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 9234
Dar Es Salaam
Telephone (022) 2113161
Fax (022) 2117918
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 127
Tunduru
Telephone/Fax (025) 2680221
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 1032
Lindi
Telephone 023-2202006
Email: info@cashew.go.tz
P.O BOX 119
Manyoni
Telephone 073881077
Email: info@cashew.go.tz