Orodha ya pembejeo zinazouzwa na Bodi

# Jina la pembejeo Aina ya dawa Bei
1 Salfa ya Unga Dawa ya unga 32,000/=
2 Duduba Dawa ya maji 28,500/=
3 Movil Dawa ya maji 14,500/=
4 Badimenol Dawa ya maji 27,000/=
5 Bachloronil Dawa ya maji 26,000/=

Zoezi la ukopeshaji wa Pembejeo

...

Bodi yaweka utaratibu wa kukopesha pembejeo kwa wakulima wa Korosho

Bodi Ya Korosho Tanzania imetoa Mwongozo wa utaratibu wa ukopeshwaji wa pembejeo za zao la Korosho kwa wakulima wa zao la Korosho. Mwongozo huu unaainisha masharti ya Mkopo, hatua za kufuata ili kupata mkopo, muda wa utekelezaji na ilani. Mkopo huu ni wa hiari na ni kwa mkulima anayeuza Korosho zake kupitia Chama cha Ushirika cha Msingi cha Mazao (AMCOS)

Zifuatazo ni nyaraka muhimu katika kuelekea zoezi hili muhimu

  • OUR YOUTUBE CHANNEL
  • Kaimu Mkurugenzi mkuu akizungumzia umuhimu wa Mashamba ya pamoja (Block farming) na shuguli za ugani Wilayani Manyoni baada ya kukabidhi pikipiki nne(4) kwa ajili ya shughuli hizo wilayani humo