02 Sep, 2026
admin
Habari na Matukio
TANGAZO LA MAFUNZO YA UDHIBITI NA UHAKIKI UBORA WA KOROSHO GHAFI MSIMU WA MAUZO 2026/2027
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inawataarifu wadau wa Tasnia ya Korosho nchini kuwa itaendesha Mafunzo ya Udhibiti na Uhakiki wa Ubora wa Korosho Ghafi kuanzia tarehe 07–12 Septemba 2026 katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Mtwara (MATI). Mafunzo haya yanatolewa kwa mujibu wa Sheria ya Korosho Sura ya 203 Toleo la Mwaka 2023.
Lebo: