MKURUGENZI MKUU WA BODI YA KOROSHO TANZANIA (CBT) AWATEMBELEA WAKULIMA KATA YA MIHAMBWE
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Francis Alfred, Septemba 9, 2026, amefanya ziara ya kuwatembelea wadau mbalimbali wa tasnia ya korosho katika maeneo ya Mtiniko, Mtimbwilimbwi, Miuta, Kitama 1, Mihambwe na Kitangari mkoani Mtwara ikiwa ni katika programu maalum ya KIJIWE CHA MKURUGENZI MKUU NA WAKULIMA.