HUDUMA YA TAASISI
Usajili wa wakulima wa Korosho
Hutolewa kwa kampuni, taasisi na wakulima wa korosho, Mkulima anatakiwa kuwa na ;
- Uthibisho wa umiliki wa ardhi
- Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Leseni ya Udereva,Pasipoti ya kusafiria (Kimoja kati ya hivi)
Huduma Zingine
Unahitaji Ufafanuzi?
Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia kupata huduma hii kwa usahihi.
Wasiliana Nasi