Skip to main content
Huduma Zetu

Huduma Kuu za Taasisi

Huduma rasmi zinazotolewa kwa wananchi, wadau na washirika wa maendeleo.

Usajili wa wakulima wa Korosho
Hutolewa kwa kampuni, taasisi na wakulima wa korosho, Mkulima anatakiwa kuwa na ;Uthibisho wa umiliki wa ardhiKitambulisho cha...
Utoaji Leseni
Leseni zinazotolewa ni pamoja na;Leseni ya ubanguaji koroshoLeseni ya ununuzi wa Korosho karangaLeseni ya ununuzi wa Korosho ghafi...
Ukaguzi
Shughuli za Ukaguzi nia pamoja na;Ukaguzi wa ubora wa korosho ghafi (Raw Cashew Nuts)Ukaguzi wa maghala ya koroshoUkaguzi...
Uthibitisho
Vibali vinavyotolewa ni pamoja na;Kibali cha kusafirisha Korosho kwenda nje ya nchiKibali cha kusafirisha Korosho ndani ya nchi...
Huduma kwa Wateja
Mafunzo ya uongezaji wa thamani wa zao la korosho Huduma hii hutolewa kwa wasindikaji wa korosho ambapo Mteja anatakiwa...
Machapisho
Cheti cha uhakiki ubora wa korosho ghafiHutolewa kwa kampuni iliyopata leseni ya kuendesha ghala la korosho kwa msimu...