Skip to main content

Miongozo

Miongozo na nyaraka za matumizi ya huduma mbalimbali.

PDF

KUFUNGULIWA RASMI KWA MINADA YA KOROSHO GHAFI KWA MSIMU WA 2026/2027 TAREHE 12 OKTOBA 2026

Bodi ya Korosho Tanzania inawakumbusha wanunuzi wote wenye leseni za kununua korosho ghafi pamoja na wadau wengine kuwa minada ya korosho ghafi kwa msimu wa 2026/2027 itaanza rasmi Jumatatu, tarehe 12 Oktoba 2026.

113.82 KiB 130
PDF

MUHTASARI WA KANUNI NA MASHARTI YA MAUZO KWA MSIMU WA MWAKA 2026/2027

Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inawataarifu wanunuzi wote watarajiwa wa Korosho Ghafi (RCN) kuwa msimu wa biashara wa mwaka 2026/2027 ulianza rasmi tarehe 1 Septemba 2026. Minada ya mauzo ya Korosho Ghafi (RCN) imepangwa kuanza tarehe 19 Oktoba 2026.

207.21 KiB 644
PDF

MWONGOZO NA 1 WA USIMAMIZI WA MASOKO NA MAUZO YA KOROSHO GHAFI KUPITIA STAKABADHI GHALANI MSIMU WA MAUZO 2026/2027

Bodi ya KoroshO Tanzania (CBT) ina jukurnu la kuendeleza na kuhakikisha Iao la korosho linastawi na kuwa chachu ya kuinua na kuimarisha kipato cha mkulima.

11.32 MiB 309
PDF

MUHTASARI WA SHERIA NA MASHARTI YA MAUZO YA KOROSHO GHAFI MSIMU WA 2026/2027

Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inawataarifu wanunuzi wote watarajiwa wa korosho ghafi kuwa msimu wa biashara wa 2026/2027 umeanza rasmi tarehe 1 Septemba 2026. Minada ya mauzo ya korosho ghafi inatarajiwa kuanza tarehe 19 Oktoba 2026. Aidha, Bodi ya Korosho Tanzania imeanza kutoa leseni za ununuzi wa korosho ghafi kupitia Mfumo wa e-Kilimo chini ya Wizara ya Kilimo.

207.21 KiB 10 Jan 2025 366
PDF

TOZO MBALIMBALI KATIKA MAUZO KWA MSIMU WA 2026/2027

A. Korosho zinazouzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala B. Korosho zinazouzwa Kupitia Soko la Awali

163.54 KiB 291
DOCX

Mwongozo wa maombi ya huduma

Nyaraka ya Word/Docx kwa matumizi ya ndani au kupakua.

680 KB 12 Mar 2025 139
PDF

MWONGOZO NA. 2 WA USIMAMIZI NA UDHIBITI UBORA WA KOROSHO GHAFI NA KOROSHO KARANGA WA MWAKA 2026/2027 TOLEO LA 9.

Mwongozo unatoa maelekezo juu ya taratibu za usimamizi na udhibiti ubora Wa korosho ghafi wa mwaka 2026/2027. Bodi ya Korosho Tanzania imeandaa Mwongozo huu kuwezesha wadau mbalimbali kujua taratibu zitakazotumika katika kusimamia ubora wa korosho ghafi kwa msimu Wa 2026/2027.

8.84 MiB 222