Skip to main content
HUDUMA YA TAASISI

Utoaji Leseni

Leseni zinazotolewa ni pamoja na;

  1. Leseni ya ubanguaji korosho
  2. Leseni ya ununuzi wa Korosho karanga
  3. Leseni ya ununuzi wa Korosho ghafi kwa wabanguaji wa ndani
  4. Leseni ya ununuzi wa Korosho ghafi kwa ajili ya kusafirisha nje ya Nchi.
  5. Leseni ya kuhakiki ubora wa korosho
Unahitaji Ufafanuzi?

Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia kupata huduma hii kwa usahihi.

Wasiliana Nasi