HUDUMA YA TAASISI
Machapisho
Cheti cha uhakiki ubora wa korosho ghafi
Hutolewa kwa kampuni iliyopata leseni ya kuendesha ghala la korosho kwa msimu husika.Hutolewa katika mfumo wa vitabu na kitabu kimoja kina hati 50 ndani yake.
Mahitaji ni pamoja na;
- Hati ya malipo
- Barua
- Leseni ya kumiliki kampuni
Huduma Zingine
Unahitaji Ufafanuzi?
Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia kupata huduma hii kwa usahihi.
Wasiliana Nasi