Skip to main content
HUDUMA YA TAASISI

Ukaguzi

Shughuli za Ukaguzi nia pamoja na;

  1. Ukaguzi wa ubora wa korosho ghafi (Raw Cashew Nuts)
  2. Ukaguzi wa maghala ya korosho
  3. Ukaguzi wa viwanda vya kubangua na kusindika korosho
  4. Ukaguzi wa usafirishaji wa korosho
  5. Ukaguzi wa ubora wa korosho kwa ajili ya usafirishaji nje ya nchi
Unahitaji Ufafanuzi?

Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia kupata huduma hii kwa usahihi.

Wasiliana Nasi