AFISA UDHIBITI UBORA MWANDAMIZI WA CBT NDG. DESDERY KARUGABA AKITOA MAFUNZO YA UDHIBITI NA UHAKIKI UBORA WA KOROSHO GHAFI KWA WASHIRIKI MSIMU WA 2026/2027 Mafunzo hayo yamefanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Mtwara (MATI) kuanzia tarehe 7 hadi 12 Septemba 2026, yakilenga kuwajengea uwezo washiriki kuhusu udhibiti na uhakiki wa ubora wa korosho ghafi ili kuhakikisha viwango vinazingatiwa katika msimu wa mauzo wa 2026/2027.
WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UDHIBITI NA UHAKIKI UBORA WA KOROSHO GHAFI MSIMU WA 2026/2027 Mafunzo hayo yamefanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Mtwara (MATI) kuanzia tarehe 7 hadi 12 Septemba 2026, yakilenga kuwajengea uwezo washiriki kuhusu udhibiti na uhakiki wa ubora wa korosho ghafi ili kuhakikisha viwango vinazingatiwa katika msimu wa mauzo wa 2026/2027.
AFISA UHUSIANO CBT (MWENYE T-SHIRT YA KIJANI KUSHOTO) AKISHIRIKI UVUNAJI WA KOROSHO DIHIMBA Kazi hii ilifanyika Septemba 5, 2026 alipowatembelea wakulima hawa katika shughuli zake za mawasiliano sambamba na Afisa Kilimo BBT (Mwenye T-Shirt ya Kijani kulia).
MKOROSHO UKIWA KATIKA HATUA YA MAVUNO, DALILI YA MATUMAINI, TIJA NA NEEMA KWA MKULIMA Kila tawi limebeba matumaini ya mavuno bora, korosho ni Fursa, ni Uchumi, ni Maisha.
AFISA KILIMO BBT (kulia) KATA YA DIHIMBA AKISHIRIKI UVUNAJI WA KOROSHO Zoezi hili hili lilifanyika Septemba 5, 2026 katika kata ya Dihimba mkoani Mtwara
WAKULIMA WA KOROSHO AMCOS YA PRE-MAENDELEO KATA YA DIHIMBA WAKIPOKEA SALFA YA UNGA AWAMU YA PILI Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele kata ya Dihimba mkoani Mtwara Septemba 5,2026.
WAKULIMA WA KOROSHO AMCOS YA PRE-MAENDELEO KATA YA DIHIMBA WAKIPOKEA SALFA YA UNGA AWAMU YA PILI Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele kata ya Dihimba mkoani Mtwara Septemba 5,2026.
AFISA UHUSIANO CBT AKISHIRIKI ZOEZI LA UGAWAJI PEMBEJEO KATA YA DIHIMBA Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele AMCOS ya PRE-MAENDELEO kata ya Dihimba Septemba 5/2026.
AFISA UHUSIANO CBT AKISHIRIKI ZOEZI LA UGAWAJI PEMBEJEO KATA YA DIHIMBA Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele AMCOS ya PRE-MAENDELEO kata ya Dihimba Septemba 5/2026.
MKURUGENZI MKUU CBT AITAKA KOROSHO QUEENS KUENDELEA KUWA BALOZI WA TASNIA YA KOROSHO Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Francis Alfred ameeleza kuridhishwa na kazi inayofanywa na wachezaji wa timu ya mpira wa wavu ya Korosho Qeens inayofadhiliwa na Bodi ya Korosho Tanzania.

Kikao cha kupitia miongozo ya msimu wa 2026/2027 Kikao cha kupitia miongozo ya msimu wa mwaka 2026/2027 kilichofanyika Septemba 1 - 2, 2026 katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Korosho Tanzania.