MKOROSHO UKIWA KATIKA HATUA YA MAVUNO, DALILI YA MATUMAINI, TIJA NA NEEMA KWA MKULIMA Kila tawi limebeba matumaini ya mavuno bora, korosho ni Fursa, ni Uchumi, ni Maisha.
AFISA KILIMO BBT (kulia) KATA YA DIHIMBA AKISHIRIKI UVUNAJI WA KOROSHO Zoezi hili hili lilifanyika Septemba 5, 2026 katika kata ya Dihimba mkoani Mtwara
WAKULIMA WA KOROSHO AMCOS YA PRE-MAENDELEO KATA YA DIHIMBA WAKIPOKEA SALFA YA UNGA AWAMU YA PILI Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele kata ya Dihimba mkoani Mtwara Septemba 5,2026.

AFISA UHUSIANO CBT AKISHIRIKI ZOEZI LA UGAWAJI PEMBEJEO KATA YA DIHIMBA Zoezi hili lilifanyika katika Kijiji cha Namanjele AMCOS ya PRE-MAENDELEO kata ya Dihimba Septemba 5/2026.

MKURUGENZI MKUU CBT AITAKA KOROSHO QUEENS KUENDELEA KUWA BALOZI WA TASNIA YA KOROSHO Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Francis Alfred ameeleza kuridhishwa na kazi inayofanywa na wachezaji wa timu ya mpira wa wavu ya Korosho Qeens inayofadhiliwa na Bodi ya Korosho Tanzania.

Kikao cha kupitia miongozo ya msimu wa 2026/2027 Kikao cha kupitia miongozo ya msimu wa mwaka 2026/2027 kilichofanyika Septemba 1 - 2, 2026 katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Korosho Tanzania.

WADAU MBALIMBALI WAPEWA TUZO MKUTANO WA WADAU Wadau mbalimbali wa Tasnia ya Korosho wamepewa tuzo kwa kutambua mchango wao katika kuendeleza, kuimarisha na kukuza Tasnia ya Korosho nchini.