Kaimu meneja wa CBT tawi la Morogoro akitoa elimu kwa Mkulima
Mkulima kutoka wilaya ya kilosa (kushoto) alipata kuelimishwa na kutatuliwa changamoto zake kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la Morogoro wakati wa maonesho ya Nanenane mkoa wa Morogoro agosti 5,2026