Habari na Matukio
Pata habari za hivi karibuni kutoka Bodi ya Korosho.
DKT. KIRUSWA ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO CBT NA KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
AFISA KILIMO CBT AKITOA ELIMU KATIKA CHOMBO CHA HABARI LINDI
Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Mohamed Kaid akiwa katika moja ya kituo...
MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA WATEMBELEA MRADI WA KONGANI LA VIWANDA MARANJE
Madiwani wa Halmashauri ya mji Nanyamba wameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa...
WAKULIMA MNOLELA: TANGU TUANZE KUPOKEA PEMBEJEO ZA RUZUKU MAMBO YANAKWENDA VIZURI SANA
Wakati zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku katika zao la korosho likiendelea katika mikoa mbalimbali...
KIKAO NA MTANDAO WA WAKULIMA WA KOROSHO TANZANIA
Bodi ya Korosho Tanzania imefanya kikao na Mtandao wa Wakulima wa Korosho Tanzania (TCGN) Katika...
BOT – MTWARA YATOA ELIMU YA FEDHA BODI YA KOROSHO TANZANIA
Wataalam kutoka Benki kuu ya Tanzania Tawi la Mtwara wametoa elimu juu ya alama za...