Habari na Matukio
Pata habari za hivi karibuni kutoka Bodi ya Korosho.
WAKULIMA WAENDELEA NA MAVUNO YA KOROSHO MTWARA
NALIENDELE - MTWARAMavuno ya korosho yanaendelea katika Kata ya Naliendele, Mkoani Mtwara, ambapo wakulima wameanza...
MKURUGENZI MKUU CBT ASIKILIZA KERO ZA WAKULIMA TANDAHIMBA, MASUALA YA PEMBEJEO, BEI NA UBORA YAPEWA KIPAUMBELE
TANDAHIMBAMkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Francis Alfred, amekutana na wakulima wa korosho...
MINADA YA KOROSHO MSIMU WA 2026/2027 KUANZA RASMI OKTOBA 19, 2026
MTWARAMkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Francis Alfred, amesema maandalizi mbalimbali kuelekea msimu...
BODI YA KOROSHO TANZANIA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WABANGUAJI WANAOKIUKA TARATIBU
MTWARABodi ya Korosho Tanzania (CBT) imewaonya wabanguaji wanaokiuka taratibu za ununuzi wa korosho katika soko...
MKURUGENZI MKUU CBT AITAKA KOROSHO QUEENS KUENDELEA KUWA BALOZI WA TASNIA YA KOROSHO
MTWARAMkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Francis Alfred ameeleza kuridhishwa na kazi inayofanywa...
TANGAZO LA MAFUNZO YA UDHIBITI NA UHAKIKI UBORA WA KOROSHO GHAFI MSIMU WA MAUZO 2026/2027
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inawataarifu wadau wa Tasnia ya Korosho nchini kuwa itaendesha Mafunzo...