19 Aug, 2026
admin
Habari na Matukio
TANGAZO LA AJIRA YA MUDA
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania anakaribisha maombi ya ajira ya muda kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za madereva (kwa ajira ya Mkataba) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili
Lebo: